1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Timu za Tanzania zinajiandaa kuanza ligi kuu ya msimu huu

Sekione Kitojo26 Julai 2010

Timu ya Simba inafikiria kumuondoa kocha wake Mzambia kutokana na kushindwa kwake kurejea nchini kwa ajili ya kuiandaa timu hiyo

https://p.dw.com/p/OVB1

Maandalizi  yako  mbioni  kwa  ajili  ya  kuanza  kwa  ligi kuu  nchini  Tanzania  na  pia  timu  za  taifa  za  nchi  hiyo , za  wanawake  na  wanaume  zinajitayarisha  kwa  ajili  ya michuano  ya  fainali  za  kombe  la  mataifa  ya  Afrika. George  Njogopa   kutoka  Dar Es Salaam  anatufahamisha zaidi.