1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Haki za Binaadamu

Haki za Binadamu ni misingi ya maadili inayotakiwa kutumika kwa manufaa ya binadamu wote duniani na kwa usawa.

Haki za Binaadamu zinalindwa kama haki za kisheria chini ya sheria za kitaifa na kimataifa. Zilianzishwa rasmi baada ya kumalizika kwa vita vya pili vya dunia, na kupelekea kupitishwa kwa Azimio la Haki za Binadamu mjini Paris katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa mwaka 1948.

Onesha makala zaidi