You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Israel na Palestina
Mzozo wa Ukraine
Niger
Teknolojia
Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi
Ripoti na Uchambuzi
Kampuni bora tatu za kutoka huduma za jamii Tanzania
Kampuni bora tatu za kutoka huduma za jamii Tanzania
Katika Makala ya Sema Uvume Veronica Natalis anatupia jicho kampuni bora tatu za kutoka huduma za jamii Tanzania, kwa namna ipi? na kwa jinsi gani? sikiliza kipindi.
Kuvunja vizuizi: Kompyuta ndogo za Uganda
Kuvunja vizuizi: Kompyuta ndogo za Uganda
Ni ndogo, nyepesi na zinaweza kuendana na kompyuta ya wastani. Mhandisi wa programu za kompyuta wa Uganda Ivan Karugaba anatufahamisha jinsi alivyounda mfano wake wa kompyuta ndogo ili kurahishisha upatikanaji zaidi wa teknolojia.
Sema Uvume: Programu ya kuutambua uzushi mitandaoni
Sema Uvume: Programu ya kuutambua uzushi mitandaoni
Lubega Emmanuel anaangalia programu maalum zinazoweza kutenganisha habari za kweli kutoka za uzushi mitandaoni.
Sema Uvume: Jifunze teknolojia ya kutambuwa alama za uso
Sema Uvume: Jifunze teknolojia ya kutambuwa alama za uso
Kwenye Sema Uvume wiki hii, Sylvia Mwehozi anakupitisha kwenye teknolojia inayotumika sasa kukutambuwa kupitia uso wako.
Je akili bandia yaweza kutumika kwenye upasuaji wa ubongo?
Je akili bandia yaweza kutumika kwenye upasuaji wa ubongo?
Upasuaji wa ubongo hufanywa ili kutibu matatizo mbalimbali, kama vile uvimbe, damu kuganda, kifafa, na maradhi mengine kama vile Pakinson. Makala ya Sema Uvume inaangazia upasuaji wa ubongo kutumia kifaa kipya cha teknolojia ya akili bandia. Mwandaaji wa makala ni Angela Mdungu.
Harakati za kupambana na habari za uongo
Harakati za kupambana na habari za uongo
Habari za uongo ni tatizo katika zama hizi za kidijitali. Mitandao ya kijamii Imerahisisha kuenea kwa habari za uongo.
Onesha zaidi
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Masuala maalumu na matukio
Masuala maalumu na matukio
DW Kiswahili inapatikana kupitia mtandao wa Instagram
Jielimishe zaidi