Makala inayoangazia masuala muhimu ya Afrika na hasa Afrika Mashariki na Kati, kama vile kilimo, fedha, uchumi na siasa, vita dhidi ya uhalifu, ufisadi ama ujenzi wa utawala bora.
Vijana wanawakilisha takriban asilimia 77 ya bara la Afrika. Je, hali ya maisha ya vijana barani Afrika ikoje? Je, upi mustakabali wao? Matumaini yao ni gani? Mijadala, maelezo na ripoti.