1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya

Halmashauri kuu ya Umoja wa Ulaya ndiyo chombo cha utawala cha Umoja wa Ulaya. Rais wake wa sasa ni Jean-Claude Juncker, mwanasiasa wa mrengo wa wastani wa kulia, zamani waziri mkuu wa Luxembourg.

Halmashauri hiyo yenye wanachama 28 ina jukumu la kupendekeza sheria, kutekeleza maamuzi, na shughuli za kila siku za Umoja wa Ulaya. Kuna Kamishna kwa kila nchi mwanachama, na wagombea wa nafasi hizo laazima waidhinishwe na bunge la Ulaya. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za karibuni za DW kuhusu Halmashauri kuu ya Umoja wa Ulaya.

Onesha makala zaidi