1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Armenia

Armenia, nchi ya Caucaus ina uhusiano wa mashaka na jirani yake wa magharibi Uturuki. Kila Aprili 24, Warmenia wanaadhimisha kile wanachokiita mauaji ya kimbari ya vikosi vya Ottoman mwaka 1915.

Warmenia milion 1.5 waliuawa katika himaya ya Ottoman wakati wa Vita kuu vya Kwanza vya Dunia. Uturuki, mrithi wa himaya Ottoman, inapinga kwa nguvu zote vifo hivyo kutajwa kuwa mauaji ya halaiki ikisema mamia kwa maelfu ya Waturuki na wakristo wa Armenia walipoteza maisha yao katika mapambano kati ya vikosi vya Ottoman na himaya ya Urusi juu ya Anatolia mashariki wakati huo.

Onesha makala zaidi