1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Jumuiya ya Nchi za Kiarabu

Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ni shirika la kimkoa la mataifa ya Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini.

Liliundwa mwaka 1945 na sasa lina wanachama 22, ambao wanashirikiana kuinua mahusiano kati ya mataifa ya Kiarabu. Uwanachama wa Syria ulisitishwa mwaka 2011 kwa sababu ya vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.

Onesha makala zaidi