1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Uzalendo

Uzalendo ni itikadi na vuguvugu linalojengewa kwa misingi ya kukuza maslahi ya taifa fulani hasa kwa lengo la kupata na kuendeleza mamlaka ya taifa hilo juu ya ardhi yake.

Uzalendo unahusisha kujitambulisha na taifa la muhusika na kuunga mkono maslahi yake hasa kwa kutoyajali au kuyahatarisha maslahi ya mataifa mengine. Katika miaka ya karibuni, dunia imeshuhudia kuongezeka kwa hisia za kizalendo la kuibuka kwa mavuguvugu pamoja na vyama vya siasa za kizalendo. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu uzalendo.

Onesha makala zaidi