1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za uzushi

Ripoti za uzushi, zimezidi kuenea katika mitandao ya kijamii katika siku za karibuni. Wachapishaji wanadai kutoa habari nyeti ambazo haziripotiwi au kudaiwa kufunikwa na vyombo vya kawaida.

Tangu ulipofanyika uchaguzi wa Marekani, nadhari ya vyombo vya habari imehamia kwenye dhana ya habari za uzushi, kwa kuzingatia mchango wake katika ushindi wa Donald Trump. Kuanzia madai ya Hillary Clinton kulifadhili kundi la Dola la Kiislamu hadi kwenye kile kinachotajwa kuwa "Pizzagate", habari za uzushi zina madhara makubwa kwa mustakabali wa jamii za kidemokrasia. Maudhui za DW kuhusu habari za uzushi utazipata katika ukurasa huu.

Onesha makala zaidi