1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Christine Lagarde

Christine Madeleine Odette Lagarde ni wakili wa Kifaransa na mwanasiasa anaehudumu kama Mkrugenzi Mkuu na Mwenyekiti wa Shirika la Fedha la Kimataifa IMF tangu mwaka 2011. Lagarde ameteuliwa kuwa Rais wa Benki ya Ulaya.

Aliwahi kushika nadhifa mbalimbali za uwaziri katika serikali ya Ufaransa. Alikuwa mwanamke wa kwanza kutoka taifa la G8 kushika wadhifa wa wa fedha, na pia mwanamke wa kwanza kuongoza shirika la IMF. Mwaka 2018, Jarida la Forbes lilimuorodhesha katika nafasi ya tatu miongoni mwa wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani. Ikiwa atathibitishwa na bunge mjini Strasbourg, atakuwa pia mwanmake wa kwanza kuongoza benki kuu ya Ulaya ECB. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kumhusu Lagarde.

Onesha makala zaidi