1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

OPCW

Shirika la kuziwia kuenea kwa silaha za kemikali (OPCW) ni taasisi ya kimataifa na chombo cha utekelezaji wa mkataba kuhusu silaha za kemikali, ulioanza kutekelezwa Aprili 29, 1997.

OPCW yenye mataifa wanachama 192, ina makao yake mjini the Hague, Uholanzi, na inasimamia juhudi za kimataifa za ufuta wa kudumu na unaothibitika wa silaha za kemikali. Shirika hilo lilishinda tuzo ya amani ya Nobeli ya mwaka 2013 kwa juhudi zake kubwa za kuondoa matumizi ya silaha za kemikali.

Onesha makala zaidi