1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Kamisheni ya Umoja wa Afrika

Halmashauri kuu ya Umoja wa Afrika ndiyo chombo cha utendaji cha Umoja wa Afrika na kinafanana kimuundo na Halshamashauri kuu ya Umoja wa Ulaya. Inaundwa na makamishna kadhaa wanaoshughulikia maeneo tofauti ya kisera.

Halmashauri hiyo ina makao makuu yake mjini Addis Ababa, Ethiopia. Ni tofauti na Kamisheni ya Afrika kusuhu haki za binaadamu na watu, yenye makao yake mjini Banjul, Gambia, ambacho ni chombo tofauti kinachoripoti kwa Umoja wa Afrika. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za karibuni za DW kuhusu Halmashauri kuu ya Umoja wa Afrika.

Onesha makala zaidi