1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Moussa Faki Mahamat

Moussa Faki Mahamat ni mwanasiasa wa Chad ambaye amekuwa mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Afrika tangu Machi 24, 2017.

Faki ambaye ni mwanasheria aliebobea katika masuala ya katiba, ameshika nyadhifa kadhaa za juu serikalini katika muda wa miaka 30 iliopita, zikiwemo nafasi za waziri wa mambo ya nje na waziri mkuu wa taifa lake Chad. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui yote ya karibuni ya DW kuhusu Moussa Faki Mahamat.

Onesha makala zaidi