1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

UNESCO

Zaidi ya maeneo 1,000 duniani kote yametambuliwa na UNESCO kama ya thamani ya kipekee kwa ubinaadamu. Maeneo hayo ya umuhimu wa kibinaadamu na kitamaduni, hupewa usikivu na ulinzi maalumu.

Katika nyakati za vita na majanga ya asili, turaathi za dunia zinakuwa hatarini. Hususani hazina za kale katika maeneo kama vile Syria, Iraq na Nepal yako hatarini na jumuiya ya kimataifa inashirikiana kutafuta njia za kuyalinda. Kila mwaka kamati ya turaathi za dunia ya UNESCO inakutana kuboresha orodha yake, na kuamua ni maeneo yapi ya kuongeza, kuondolewa au kuainishwa kuwa yako hatarini.

Onesha makala zaidi