1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Sarafu ya Euro

Euro ndiyo sarafu rasmi inayotumiwa kanda ya Euro, inayojumlisha mataifa 19 kati ya 28 ya Umoja wa Ulaya. Ndiyo sarafu ya hifadhi kwa ukubw a duniani baada ya dolla ya Marekani.

Tangu mwaka 1999, Euro imekuwa moja ya sarafu zinazotumika katika masoko ya kimataifa. Sarafu na noti za Euro zilianza kutumika rasmi mwaka 2002. Mwaka 2009, sarafu ya Euro iligubikwa na mgogoro wa madeni wa Ulaya, hatua iliyoilaazimu kanda ya Euro kuchukuwa hatua kadhaa kurejesha utulivu wa sarafu hiyo.

Onesha makala zaidi