You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Iran
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Sarafu ya Euro
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
EU yaandaa mkopo wa euro bilioni 90 kwa Ukraine
Rais wa Halmashauri hiyo Ursula von der Leyen, amesema mkopo huo utafanikiwa kutolewa licha ya pingamizi hilo.
EU kutoa msaada wa euro milioni 458 Mashariki ya Kati
hatua hiyo inaonesha ni kwa jinsi gani EU inaongeza juhudi zake kusaidia waathiriwa wa migogoro,
Msimu wa Kanivali kuongeza kipato cha taifa Ujerumani
Sekta mbali mbali ikiwemo, hoteli, vilabu vya pombe hadi wauzaji wa mavazi zinatarajiwa kunufaika.
Ujerumani yatenga mabilioni ya yuro kuimarisha Jeshi
Jeshi la Ujerumani, limetenga zaidi ya euro bilioni 108, sawa na dola bilioni 129 za kimarekani, kwa matumizi mwaka huu.
Ujerumani: Euro milioni 30 zaibiwa katika wizi wa benki
Polisi imesema wezi hao walifanya wizi huo Jumatatu kwa kutumia ukimya uliokuwepo wakati wa mapumziko ya siku kuu.
Bulgaria yajiunga na euro: Kwa nini ni jambo kubwa?
Kujiunga na euro kunaonyesha maendeleo ya uchumi wa Bulgaria, lakini hali ya kisiasa na hasira za wananchi ni changamoto
Umoja wa Ulaya kuipatia Ukraine mkopo wa yuro bilioni 90
Viongozi wa mataifa ya Ulaya wamekuwa wakipambana kuangazia namna ya kuisaidia Ukraine inayopigana na Urusi.
Umoja wa Ulaya wakubaliana kuipatia Ukraine yuro bilioni 90
Umoja wa Ulaya umekuwa ukihangaika juu ya namna ya kuendelea kuisaidia Ukraine iliyovamiwa na jirani yake Urusi.
Mshirika wa Embalo akamatwa na euro milioni 5 taslim
Mshirika wa karibu wa rais aliyepinduliwa nchini Guinea Bissau amekamatwa Ureno akiwa na euro milioni tano taslim,
Ujerumani yabeba wenyeji wa Euro ya Wanawake 2029
Mashindano hayo yameandaliwa kuwa “kwa wote,” huku nchi hiyo ikipanga kuvutia mashabiki zaidi ya milioni moja viwanjani.
EU kuipatia Ukraine bilioni 90 kwa miaka miwili
Nchi za Umoja wa Ulaya zinapambana kushirikishwa katika juhudi za kutafuta suluhu ya vita vya Ukraine
Ronaldo: Fainali za Kombe la Dunia 2026 ni za mwisho kwangu
Cristiano Ronaldo amenyakua makombe mbalimbali kwenye mchezo wa soka akiwa na klabu ama timu ya taifa ya Ureno.
Israel yatumia mamilioni ya Yuro kueneza propaganda
Israel inadaiwa kutumia wakala wake kuendesha propaganda zenye lengo la kushawishi maudhui na mitizamo ya umma.
Afrika Kusini yapokea mkopo wa €500 milioni kutoka Ujerumani
Mkopo wa euro milioni 500 kutoka benki ya maendeleo inayomilikiwa na serikali ya Ujerumani kutolewa kwa Afrika Kusini.
Ujerumani isiyo na mabeki kukabiliana na Uhispania
Beki wa timu ya taifa ya kina dada ya Ujerumani, Sarai Linder, hatoshiriki mechi ya nusu fainali Ujerumani itakapocheza
Euro: Uswisi ina kibarua kigumu dhidi ya Uhispania
Beki wa Aston Villa Noelle Maritz amesema anaamini kwamba mashabiki wa nyumbani wataisaidia kuweka shinikizo.
Ujerumani kutoa mchango euro milioni 10 kwa Benki ya Dunia
Mawaziri wa fedha wa nchi za G20 wanakutana kwa siku mbili mjini Durban, Afrika Kusini.
UEFA wanawake yataka mechi zaidi kwenye viwanja vikubwa
Soka la wanawake bado halina mwamko mkubwa na uwekezaji mkubwa bado unasalia kwenye soka la wanaume
Ujerumani yaipa Tanzania bilioni 78 kusaidia miradi ya maji
Msaada huo utawezesha wataalamu katika maeneo hayo kupata mbinu na uwezo mpya wa kuendeleza utalii na uhifadhi
EURO 2025: Ujerumani kukosa huduma za Gwinn
Gwinn, hatashiriki katika michuano ya Euro 2025 baada ya kuumia goti la kushoto.
Umoja wa Ulaya kuipa Misri msaada wa euro bilioni nne
Fuko la Fedha la Kimataifa, IMF, limeipa Misri mkopo
Umoja wa Ulaya waahidi euro bilioni moja kwa Ukraine
Ujerumani imeahidi kuipa Ukraine msaada zaidi wa euro milioni 40.
Wafadhili waahidi euro milioni 800 kwa ajili ya Sudan
Sudan iko katika njiapanda. Jumuiya ya kimataifa yaahidi misaada ya kihistoria huku hofu ya kugawanyika ikitanda.
Umoja wa Ulaya kutoa Euro bilioni 1.6 kwa Palestina
Umoja wa Ulaya watangaza msaada wa Euro bilioni 1.6 kwa watu wa Palestina
Washirika wa Ukraine waahidi msaada wa euro bilioni 21
Washirika wa Ukraine katika jumuiya ya NATO wameahidi kuendelea kuisaidia Ukraine.
NATO NA EU kuipatia msaada zaidi wa kijeshi Ukraine
Ukraine yaomba kupewa mifumo zaidi ya ulinzi ya Patriot
Le Pen angojea hukumu ya ubadhirifu wa euro milioni saba
Marine Le Pen anatazamiwa kusomewa hukumu ya kesi yake ya ubadhirifu wa fedha.
Ujerumani kutoa msaada zaidi wa kijeshi kwa Ukaine
Hatua hiyo inajiri wakati Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump ikiwa umesitisha msaada wa kijeshi kwa Ukraine.
Ujerumani kuelekeza mabilioni ya yuro katika jeshi
Ujerumani inapanga kupitisha mpango mkubwa wa matumizi kwa ajili ya jeshi na miundombinu na kufuta kikwazo cha deni.
Ujerumani yawasilisha ombi la Euro 2029 kwa wanawake
Ujerumani inaungana na mataifa mengine matano ambayo tayari yalikuwa yametangaza nia hiyo.
Kwa nini Ulaya Kusini inaongoza ukuaji wa ukanda wa euro?
Nchi 20 zinazotumia euro hazina maendeleo, na matatizo ya uchumi nchini Ujerumani yanaongeza shida hizo.
Ufaransa yaahidi euro milioni 100 kuisaidia Lebanon
Rais Emmanuel Macron amesema msaada mkubwa unahitajika kuisadia nchi hiyo inayokabiliwa na mgogoro wa kiuchumi.
Umoja wa ulaya kuikopesha Ukraine Euro bilioni 35
Umoja wa ulaya kuikopesha Ukraine Euro bilioni 35
Ujerumani: Polisi wakamata tani 2 za madawa ya kokeini
Watu zaidi ya 10 wamekamatwa wakituhumiwa kuhusishwa na tukio hilo.
EU yatenga bilioni 10 kwa nchi zilizoathiriwa na mafuriko
Ursula von der Leyen amesema kiasi euro bilioni 10 zitatolewa kwenye mfuko wa mshikamano wa Umoja wa Ulaya.
Toni Kroos mwanasoka bora wa mwaka wa Ujerumani
Toni Kroos mwanasoka bora wa mwaka wa Ujerumani
Southgate ajiuzulu kama kocha wa England
England ilipoteza fainali ya pili mfululizo ya mashindano ya Ulaya baada ya kupigwa 2 - 1 na Uhispania.
Shangwe na nderemo baada ya La Roja kuchukua ubingwa wa EURO
Uhispania ilishinda mechi zake zote saba bila ya kuhitaji penalti, hiyo ikiwa rekodi katika michuano ya EURO.
Uhispania yabeba kombe la Ulaya EURO 2024 kwa ushindi wa 2-1
Uhispania ndio mfalme mpya wa soka barani Ulaya baada ya kupata ubingwa kwa kupiga England bao 2-1.
Uhispania yanyakua ubingwa wa EURO 2024
Uhispania ndio mfalme mpya wa soka barani Ulaya baada ya kupata ubingwa kwa kupiga England bao 2-1.
Euro 2024: Ni England au Uhispania leo?
England na Uhispania, zinakutana katika mechi ya kuwania ubingwa katika michuano ya Euro 2024.
Mainnoo: Hakuna kuangalia nyuma hadi 'kazi ikamilike'
Lamine Yamal na Jude Belingham wanatarajiwa kuzibeba timu zao katika mchezo huo wa fainali ya michuano ya Euro 2024.
UEFA yaridhishwa na kiwango cha maandalizi ya Euro 2024
Kallen vile vile ameusifu mfumo wa reli wa Ujerumani ingawa shirika la treni la Ujerumani Deutsche Bahn.
Maoni: Tathmini ya fainali ya kombe la EURO 2024
Uhispania inakwaana na England katika mechi ya fainali ya michuano ya kombe la EURO 2024 katika dimba la Olympiastadion mjini Berlin siku ya Jumapili (14.07.2024) Nani zaidi? Je, hamasa ya mashabiki ikoje kuelekea fainali hii na imekuwaje katika mashindano ya mwaka huu? Ungana na Josephat Charo akiongoza kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara.
England yatinga fainali za Euro 2024
England itakwaana na Spain siku ya Jumapili (Julai 14, 2024) kwenye fainali za Euro 2024.
England na Uholanzi nani zaidi nusu fainali za EURO 2024?
England na Uholanzi nani zaidi nusu fainali za EURO 2024?
Kocha wa Spain asifu uwezo wa kikosi chake Euro 2024
Kocha wa Uhispania amesifu ubora wa timu yake baada ya kuishanda Ufaransa katika nusu fainali Euro 2024.
10.07.2024: Matangazo ya asubuhi
Sikiliza matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili
Spain yaishinda France 2-1 kufika fainali ya EURO 2024
Uhispania watakabiliana na ama England au Uholazi siku ya Jumapili mjini Berlin.
Spain na France kutunishiana misuli nusu fainali
Ufaransa imekosolewa kwa kuonesha mchezo usiovutia.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 11
Ukurasa unaofuatia