Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
DW inakuletea simulizi za maeneo na imani za kale, kwa kuyatembelea maeneo hayo na kuzungumza na wenyeji na jamii husika.
Sadiki ukipenda, kupitia kipindi cha Karibuni.
Sadiki ukipenda, inasafiri hadi Pemba huko Zanzibar kukitizama kitabu kikongwe kilichookotwa baharini kikiwa kikavu bila ya kulowana. Wakaazi wanasimulia huku serikali ikijaribu kukitangaza kama mojawapo ya maajabu ya dunia. #Sadikiukipenda
Katika kijiji cha Nanguruwe, Mtwara nchini Tanzania, baadhi ya wakaazi wake wanaamini kuwa kijiji chao kinalindwa na joka kubwa kwa jina Mzee Livembe! Vipi? Kwa nini? Tangu lini? Inawezekanaje? Maswali kuhusu imani hii ni lukuki lakini Salma Mkalibala anayatafutia majibu kwenye video hii ya #Kurunzi #SadikiUkipenda.