1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

ECB

ECB ndiyo benki kuu inayosimamia sera ya kifedha katika kanda inayotumia sarafu ya Euro, ambapo lengo kuu ni kuendeleza utulivu wa bei za bidhaa na huduma.

Makao mkuu ya ECB yako mjini Frankfurt, Ujerumani. Wamiliki na wanahisa wakuu wa benki hiyo, siyo tu benki kuu za mataifa 19 ya kanda inayotumia sarafu ya Euro - Eurozone, bali pia za mataifa yote 28 wanachama wa Umoja wa Ulaya. Mario Draghi, zamani gavaba wa benki kuu ya Italia, ndiye rais wa sasa wa ECB. Ukurasa huu unakukusanyia maudhui za karibuni za DW kuhusu ECB.

Onesha makala zaidi