1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Benki Kuu ya Marekani

Benki Kuu ya Marekani inafahamika kama “Federal Reserve”. Ilitoa mchango muhimu katika kuiongoza Marekani katika kipindi cha mgogoro wa kifedha wa dunia kupitia sera yake ya viwango vya chini kabisaa vya riba.