1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Haki za wanawake

Haki za wanawake zinalindwa katika Tangazo la Ulimwengu la Haki za Binadamu. Zinajumlisha haki ya kuamua juu ya miili yao, haki ya kupiga kura, haki ya kupata elimu, kazi, malipo sawa, haki ya kuongoza na kumiliki mali.

Haki za wanawake zimeandika katika sheria za mataifa mengi. Katika mataifa mengine, mila na desturi zinaweza kusaidia wanawake na wasichana kupata haki zao. Katika baadhi ya mataifa, haki hizi hupuuzwa au kukandamizwa zinapokinzana na upendeleo wa kihistoria au kitamaduni katika utekelezaji wa haki za wanawake na wasichana dhidi ya wanaume na wavulana. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW juu ya masuala anuai kuhusu usawa wa kijinsia, haki za wanawake na wasichana duniani kote.

Onesha makala zaidi