1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 11.03.2019

Grace Kabogo
11 Machi 2019

Kampuni ya kutengeneza ndege nchini Marekani, Boeing imeahirisha uzinduzi wa ndege yake 777X, kutokana na ajali ya ndege ya Ethiopia iliyotokea jana // Vikosi vinavyoungwa mkono na Marekani vimeanzisha tena mashambulizi kwenye ngome ya mwisho ya kundi la Dola la Kiislamu mashariki mwa Syria // Ndege ya serikali inayoaminika imembeba Rais wa Algeria, Abdelaziz Bouteflika imewasili Algiers

https://p.dw.com/p/3ElIN