1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Frank-Walter Steinmeier

Frank-Walter Steinmeier ni mwanasiasa wa chama cha siasa za mrengo wa wastani wa kushoto – SPD nchini Ujerumani.

Alikuwa waziri wa mambo ya nje katika serikali ya muungano mkuu ya Ujerumani, inayoogonzwa na Kansela Angela Merkel. Februari 12, 2017 Steinmeier alichaguliwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho la Ujerumani, kuchukuwa nafasi Joachim Gauck ambaye aliamua kuhudumu muhula mmoja tu kutokana na sababu za kiafya. Katika ukurasa huu utapata maudhui za DW kuhusu Steinmeier.

Onesha makala zaidi