1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Tehran

Tehran ndiyo mji mkubwa kabisaa na mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Ukiwa na karibu wakaazi milioni 9, ndiyo mji wenye wakaazi wengi zaidi katika eneo la Asia Magharibi.

Mji wa Tehran unakutikana katika sehemu ya kaskazini mwa Iran. Ni kituo kikuu cha bishara ya kimataifa na unajivunia kuwa mji mkuu wa pili kwa ukubwa katika kanda ya Mashariki ya Kati. Ukurasa huu unakusanya maudhui za DW kuhusu Tehran.

Onesha makala zaidi