1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mkutano wa Usalama Munich

Mkutano wa Usalama wa Munich ni tukio la kila mwaka linalowakutanisha watalaamu wa usalama na wanasiasa, viongozi wa kijeshi na sekta ya ulinzi kutoka duniani kote.

Katika kipindi cha miongo mitano iliopita, mkutano wa usalama wa Munich umekuwa mkusanyiko muhimu wa jumuiya ya kimkakati ya kimataifa. Unanuwia kukuza dhana ya utatatuzi wa amani wa migogoro na ushirikiano wa kimataifa na una lengo makhsusi la kuimarisha ushirikiano wa mataifa ya kanda ya Atlantiki. Mkutano huo uliasisiwa na kuendeshwa hadi leo hii, na mwanadiplomasia wa zamani wa Ujerumani Wolfgang Ischinger. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa karibuni wa maudhui za DW kuhusu mkutano huo wa kila mwaka wa Munich.

Onesha makala zaidi