1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Türkei Hatay Erdbeben
Picha: Umit Bektas/REUTERS

Tetemeko la ardhi Uturuki-Syria

Uturuki, nchi ambayo kwa kiasi fulani iko barani Ulaya na Asia, inapatikana katika mojawapo ya maeneo yenye mitetemeko mingi ya ardhi duniani na imewahi kukumbwa na matetemeko kadha mabaya.