1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Wanyamapori

Ni wanyama wanaorandaranda kwa uhuru.

Wanyama wakubwa kama simba, lakini pia viumbe wadogo kama panya wa shambani - Wanyamapori hujumlisha wanyama wote ambao siyo wa kufugwa nyyumbani. Kuazia wale wa ajabu hadi wazuri, wanyama wa porini, ndege an samaki wanaweza kutoa mchango muhimu katika mfumo wa ekolojia. Na wanadamu kawaida kutegemea wanyamapori kuishi.

Onesha makala zaidi