1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

AKP

Chama cha Haki na Maendeleo ndiyo chama kikubwa zaidi cha kisiasa nchini Uturuki. Kiliasisiwa mwaka 2001 kwa kuungana kwa vyama kadhaa vya vinavyofuata Uislamu wa kihafidhiina, kizalendo na vya Kiislamu.

Kumekuwepo na utata nchini Uturuki kuhusiana na dhamira yake kwa kanuni za kidunia zilizoainishwa katika katiba ya taifa hilo - licha ya asili yake katika misingi ya Uislamu. Hapa unaweza kupata ripoti na makala za DW kuhusu chama cha AKP.

Onesha makala zaidi