1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

GIZ - Shirika la ushirikiano wa kimataifa la Ujerumani

Shiriaka la GIZ linaisaidia serikali ya Ujerumani katika nyanja ya ushirikiano wa kimataifa.

GIZ - wakala wa Kijerumani wa ushirikiano wa kimataifa una ofisi ndani ya Ujerumani na katika mataifa mengi duniani, likiwa na uzoefu wa zaidi ya miaka 50 ya utuoaji huduma katika nyanja kadhaa, ikiwa ni pamoja na maendeleo ya kiuchumi na ajira, nishati na mazingira, na amani na usalama. Dira yake ni: "Tunafanyakazi kuunda mustakabali wa maiasha bora duniani kote."

Onesha makala zaidi