1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Uturuki

Uturuki ni nchi iliyoko katikati mwa Ulaya Mashariki na Asia Magharibi, ikiwa na mwunganiko na himaya za kale za Ugiriki, Uajemi, Roma, Byzantium na Ottoman. Ankara ndiyo mji mkuu wa Uturuki ya sasa.

Uturuki inapakana na nchi nane: Iraq, Syria upande wa kusini, Iran; Armenia na nchi iliyozungukwa na Azerbhaijan ya Nakhchivan kwa upande wa mashariki; Georgia kwa upande wa Kaskazini-Mashariki; Bulgaria katika upande wa Kaskazini-Magharibi; na Ugiriki katika upande wa Magharibi. Ni nchi inayofuata mfumo usiyo wa kidini japokuwa asilimia 96 ya wakaazi wake ni Waislamu.

Onesha makala zaidi