1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Pembe ya Afrika

Pembe ya Afrika ni rasi ilioko kaskazini-mashariki mwa Afrika. Inakata mamia ya kilomita ndani ya bahari ya Arabuni na iko kandoni mwa upande wa kusini mwa ghuba ya Aden.

Eneo hilo ndiyo linatoa taswira ya mbali zaidi ya mashariki ya bara la Afrika.Pembe ya Afrika inaashiria kanda yenye mataifa Djibouti, Eritrea, Ethiopia na Somalia. Ina eneo la ukubwa wa kilomita za mraba karibu 2,000,000 na linakaliwa na karibu watu milioni 115 (Ethiopia 96.6, Somalia 12.3, Eritrea 6.4, na Djibouti 0.81.

Onesha makala zaidi