1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2021

Zaidi ya watu milioni 60 wana vigezo vya kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Bunge la Ujerumani, Bundestag, unaofanyika Septemba 26, 2021.

Bundestag ndiyo chombo kikuu cha utungaji sheria nchini Ujerumani. Wajumbe wake wanachaguliwa kila baada ya miaka minne, katika mfumo mchanganyiko wa kura ya moja kwa moja na orodha. Bunge la sasa lina wabunge 709 kutoka vyama saba - Christian Democrats (CDU) na chama ndugu, cha CSU, Social Democrats, SPD, chama cha mrengo mkali wa kulia, AfD, chama cha mrengo wa shoto na kile kinachopendelea biashara cha FDP. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu uchaguzi mkuu wa Ujerumani 2021.

Onesha makala zaidi