1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Recep Tayyip Erdogan

Recep Tayyip Erdogan alizaliwa mwaka 1954 na alihudumu katika nafasi ya waziri mkuu wa Uturuki kuanzia 2003 hadi 2014. Alikuwa rais wa kwanza wa taifa hilo kuchaguliwa na raia.

Recep Tayyip Erdogan alianza maisha yake ya kisiasa akiwa mwanafunzi, na baadae akaongoza chama cha Ustawi, kilichokuwa na misingi yake katika Uislamu, kilichopigwa marufuku mwaka 1998 – na kisha chama cha Haki na Maendeleo AKP. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu Recep Tayyip Erdogan.

Onesha makala zaidi