1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Venezuela

Venezuela ni Jamhuri ya shirikisho ilioko katika pwani ya kaskazini ya Amerika Kusini. Hifadhi kubwa zaidi ya mafuta duniani iligundulika nchini humo mwanzoni mwa karne ya 20.

Kufufuka kwa bei za mafuta mwanzoni mwa miaka ya 2000 kulisaidia kuimarisha uchumi wa Venezuela. Serikali ya Viktor Chavez mjini Caracas ikaanzisha sera ya kizalendo ambazo awali ziliimarisha uchumi na kuongeza matumizi ya kijamii, na hivyo kupunguza kwa sehemu kubwa ukosefu wa usawa wa kiuchumi na umaskini. Sera hizi baadae zilizusha utata kwa kuvuruga uchumi wa taifa, na kusababisha mfumo mkubwa wa bei, mdororo wa kiuchumi na kuongezeka pakubwa katika umasikini. Hapa unaweza kupata mkusanyiko wa moja kwa moja wa maudhui za DW kuhusu Venezuela.

Onesha makala zaidi