1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Bonn

Bonn ni mji wakaribu wakaazi 310,000 uliyoko kwenye jimbo la magharibi mwa Ujerumani la North-Rhine Westphalia. Uko kusini mwa Cologne na kwenye Mto Rhine.

Mji wa Bonn ambao ulianzishwa kama eneo la makaazi kwa Waroma, limekuwa maarufu zaidi kama eneo alikozaliwa mtunzi mashuhuri wa Kijerumani Ludwig van Beethoven, na kama mji mkuu wa Ujerumani Magharibi kuanzia 1949 hadi 1990. Ulikuwa makao makuu ya serikali ya shirikisho hadi 1999. Huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu mji huo wa shirikisho la Ujerumani.

Onesha makala zaidi