1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

PKK

PKK ni kundi la kijeshi la chama cha Wakurd linaloendesha shughuli zake hasa nchini Uturuki. Kundi hilo lilianzisha uasi wa silaha katika miaka ya 1980 kwa lengo la kujitawala.

Kundi hilo la silha la mrengo wa kushoto lilianzishwa mwaka 1978 na kundi la wanafunzi wakiongozwa na Abdullah Ocalan, alieko gerezani tangu mwaka 1999. Wakurd wanchangia asilimia 20 ya wakazi wa Uturuki na wamekandamizwa kwa miongozo kadhaa. Hapa utapata mkusanyiko wa moja kwa moja wa maudhui za DW kuhusu PKK.

Onesha makala zaidi