1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Bundeswehr

Jeshi la Ujerumani ndiyo mmoja ya makubwa zaidi barani Ulaya. "Bundeswehr" ni neno jumla linalotumika nchini Ujerumani kumaanisha jeshi la ardhini, jeshi la angani na la majini.

Kufuatia upunguzaji na kusitisha uandikishaji mwaka 2011, jeshi la Bundeswehr lilipungua na kufikia jumlya ya maafisa 180,000. Idadi hii inaimarishwa na wanajeshi wa akiba wapatao 40,000 ambao wengi wao walikuwa vijana wanaohudumu katika jeshi la kujenga Taifa. Bundeswehr haina vikosi vya mgambo. Ujerumani imekuwa ikisita kutuma wanajeshi nje lakini tangu miaka ya 1990, Bundeswehr imekuwa ikishiriki katika operesheni mbalimbali duniani, ikituma wanajeshi 100,000 nchini Afghanistan pekee tangu 2002. Huu ni mkusanyiko wa maudhui za karibuni za DW kuhusiana na Bundeswehr.

Onesha makala zaidi