1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Helmut Kohl

Helmut Kohl alihudumu kama kansela wa Ujerumani kuanzia 1982 hadi 1998, na mwenyekiti wa chama cha Christian Demcoratic Union CDU kuanzia 1973 hadi 1998.

Utawala wake wa miaka 16 ndiyo mrefu zaidi kwa kiongozi yeyote wa serikali katika Ujerumani ya baada ya vita. Anachukuliwa na wengi kama kinara wa kuunganishwa tena kwa Ujerumani mbili, na alitoa mchango muhimu katika kuanzishwa kwa Umoja wa Ulaya, kupitia mkataba wa Maastricht. Maudhui za karibuni za DW zinazohusiana na Kohl zinapatikana katika ukurasa huu.

Onesha makala zaidi