Mkutano wa Benki za Posta Kisiwani Zanzibar | Matukio ya Kisiasa | DW | 14.05.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mkutano wa Benki za Posta Kisiwani Zanzibar

Mkutano wa 14 wa wakurugenzi wa benki za posta Afrika na taasisi ya benki za akiba duniani, WSBI, unafanyika visiwani Zanzibar.

default

Mji Mkongwe wa Zanzibar kunakofanyika mkutano wa Benki za Posta

Ajenda kubwa katika mkutano huo ni kukuza na kuimarisha utumiaji wa huduma za kifedha, yaani benki, kwa wananchi wote , hata wa vijijini.

Mwandishi wetu Salma Said ametutumia ripoti ifuatayo kutoka Zanzibar.

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com