1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Usawa wa kijinsia

Usawa wa Kijinsia ni hali ya uapatikanaji sawa wa rasilimali na fursa bila kujali jinsia.

Usawa wa Kijinsia ni moja ya malengo ya meendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa. Ukosefu wa usawa wa kijinsia unapimwa kila mwaka na ripoti za Programu ya Maendeleo ya Umoja wa Mataifa. Inasema usawa wa kijinsia unafanikishwa kupitia "utendeaji wa haki" kati ya wanaume na wanawake, kulingana na mahitaji yao mtawalia. Katika ukurasa huu utapata maudhui za DW kuhusu masuala ya usawa wa kijinsia.

Onesha makala zaidi