1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Chama cha Mapinduzi (CCM)

Chama cha Mapinduzi kuliundwa mwaka 1977 baada ya kuunganishwa kwa vyama vya Tanganyika African National Union (TANU) cha iliyokuwa Tanganyika, na Afro-Shiraz cha Zanzibar.

CCM ndiyo chama tawala nchini Tanzania na chama tawala cha muda mrefu zaidi barani Afrika. Tangu kurejeshwa kwa siasa za vyama vingi Tanzania, CCM imeedelea kuwa maarufu na imeshinda chaguzi zote tano kuu za mwaka 1995, 2000, 2005, 2010 na 2015. Katika uchaguzi wa mwaka 2015, CCM ilishinda viti 186 kati ya 239 vya ubunge na hivyo kuendeleza udhibiti wake wa bunge la taifa. Katika Ukurasa huu utapata maudhui za karibuni na DW kuhusu CCM.

Onesha makala zaidi