Tembelea tovuti mpya ya DW

Tazama toleo la beta la dw.com. Bado hatujamaliza! Maoni yako yanaweza kutusaidia kuiboresha.

  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Chama cha Wananchi (CUF)

Civic United Front au CUF ni Chama cha Wananchi kinachofuata nadharia za kiliberali. Ingawa ni chama cha kitaifa, ngome yake kuu iko visiwani Zanzibar. Ni mwanachama wa muungano wa kimataifa wa vyama vya kiliberali.

CUF iliasiwa Mei 28, 1995 baada ya kuunganishwa mavuguvugu mawili ya KAMAHURU – ambalo lilikuwa vuguvugu lam kushinikiza demokrasia Zanzibar, na vuguvugu la kiraia – ambalo ni kundi la haki za binaadamu lililokuwa na makao yake Tanzania bara. Wengi wa viongozi wa CUF walikuwa vigogo wa chama cha Mapinduzi, ambao baadhi yao walifukuzwa kuhusiana na mivutano juu ya sera ya chama na serikali. Chama hicho kilipata utambuzi kamili Januari 21, 1993. Ukurasa huu utakuletea maudhui za karibuni za DW kuhusu CUF.

Onesha makala zaidi