1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zanzibar yazindua taasisi ya Maalim Seif Sharif

Salma Said(HON)5 Novemba 2021

Taasisi inayoenzi maisha ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, imezinduliwa rasmi na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ambaye amesema taasisi hiyo ni ya Wazanzibari wote na kwamba kiongozi huyo alikuwa ni mwanamaridhiano wa vitendo.

https://p.dw.com/p/42cq8