You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Iran
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Picha: DW
Vidio zetu
Tazama vidio zetu hapa
Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi
Ripoti na Uchambuzi
Vijana wa Angola waongoza elimu ya haki za raia
Vijana wa Angola waongoza elimu ya haki za raia
Katika taifa ambalo mara nyingi ushabiki wa vyama vya siasa umeonekana kutawala mijadala ya umma na kufunika haki za raia, kundi moja la vijana kutoka mkoa wa Bengo—linalojulikana kama Mizangala Tu Yenu Kupolo—limeibuka kama nguvu mpya ya kijamii. Kupitia ubunifu, sanaa na mbinu mbadala za uhamasishaji, vijana hawa wanabadilisha namna wananchi wanavyoshiriki katika siasa.
Kuwanusuru watoto njiti dhidi ya upofu Uganda
Kuwanusuru watoto njiti dhidi ya upofu Uganda
Hospitali ya Kawempe Kampala inawasaidia watoto njiti katika kutambua tatizo la mapema la ugonjwa wa mishipa ya retina.
Kutana na Tupokigwe kinara wa kupinga ndoa za utotoni
Kutana na Tupokigwe kinara wa kupinga ndoa za utotoni
Tazama video hii inayomulika jitihada za Tupokigwe katika kupambana na ndoa za mapema.
Msichana anayepiga vyombo vya muziki
Msichana anayepiga vyombo vya muziki
Caren ni msichana wa miaka 10, lakini sauti na midundo yake ni mikubwa kuliko umri wake. Anapiga vyombo vya muziki na pia huimba kwa ustadi mkubwa. Ameshawahi kutumbuiza katika matamasha makubwa, na hata kutunukiwa cheti cha muziki. Bado ana ndoto ya kuliiwakilisha taifa lake katika majukwaa makubwa ya kimataifa kupitia muziki.
Msichana anayeongoza watalii majini
Msichana anayeongoza watalii majini
Kutoka kwenye pwani ya Tanzania hadi kwenye kina cha bahari, amegeuza hofu kuwa ujasiri na ndoto kuwa kazi.
Msichana anayetumia taka za plastiki kubuni bidhaa
Msichana anayetumia taka za plastiki kubuni bidhaa
Sarafina ni msichana mbunifu anayetumia taka za plastiki kubuni bidhaa.
Onesha zaidi
Maudhui yote (290) kwenye mada hii
Matangazo