1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Hussein Mwinyi

Hussein Ali Mwinyi ni mwanasiasa wa Tanzania na rais wa nane wa Zanzibar. Alikuwa mbunge wa jimbo la Kwahani tangu 2005. Ni waziri wa zamani wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Alichaguliwa 2020 kuwa rais wa Zanzibar.

Mwinyi ni mwanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM) na alishinda uteuzi wa tiketi ya kugombea urais wa Zanzibar 2020. Baadae alishinda uchaguzi huo dhidi ya mpinzani wa muda mrefu, marehemu Seif Sharif Hamad. Ni mtoto wa rais wa zamani wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi.

Onesha makala zaidi