1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Seif Maalim Seif: Tutaendeleza sera na mwongozo wa Magufuli

George Njogopa26 Aprili 2022

Umoja Party ni chama kipya cha siasa ambacho kimeanzishwa nchini Tanzania hivi karibuni. Kulingana na mwasisi wa chama hicho Seif Maalim Seif, wanajinasibisha na sera za aliyekuwa rais hayati John Pombe Magufuli. Sikiliza mahojiano maalum kwenye Kinagaubaga kati ya mwandishi wetu George Njogopa na Seif Maalim Seif.

https://p.dw.com/p/4ARrS