1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Kassim Majaliwa

Kassim Majaliwa Majaliwa ni mwanasiasa wa Tanzania, na waziri mkuu wa nchi hiyo tangu 2015. Aliteuliwa katika wadhifa huo na Rais John Pombe Magufuli baada ya uchaguzi mkuu wa 2015.

Majaliwa alichaguliwa kwa mara ya kwanza bungeni mwaka 2010 kuwakilisha jimbo la Ruangwa kwa tiketi ya chama tawala - Chama cha Mapinduzi CCM. Alikuwa naibu waziri anaehusika na masuala ya elimu katika ofisi ya waziri mkuu, tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI), kuanzia mwaka 2010 hadi 2015. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu waziri mkuu Majaliwa.

Onesha makala zaidi