1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Uchaguzi Mkuu Tanzania 2020

Joto la uchaguzi nchini Tanzania linazidi kupanda ambapo taifa hilo la Afrika Mashariki linafanya uchaguzi wake wa tano tangu kuasisiwa kwa demokrasia ya vyama vingi zaidi ya miongo miwili iliyopita.

Nchini Tanzania vyama vya siasa vimekamilisha michakato ya ndani ya kuwatafuta makada watakaoviwakilisha vyama vyao katika uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2020. Uchaguzi huo ni wa tano kufanyika tangu kuasisiwa kwa demokrasia ya vyama vingi 1995, zaidi ya miongo miwili iliyopita.

Onesha makala zaidi