1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

G7 - Kundi la mataifa 7 yaliostawi zaidi kiviwanda

G7 - "Kundi la mataifa Saba" lilikuja pamoja mwaka 1975 kama mataifa Saba muhimu yalioendelea zaidi kiviwanda wakati huo.

Mataifa hayo saba ni Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani. Italia, Japan na Canada. Mwaka 1998 Urusi iliongezwa kwenye kundi hilo na kuwa G8, kabla ya kuondolewa tena mwaka 2014 baada ya nchi hiyo kuiteka rasi ya Crimea kutoka Ukraine.

Onesha makala zaidi