1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Benki ya Dunia

Benki ya Dunia ni taasisi ya fedha ya kimataifa inayotoa mikopo kwa mataifa yanayoendelea kwa ajili ya programu za mitaji.

Benki ya Dunia ina taasis kuu mbili: Benki ya Kimataifa ya Ujenzi na Maendeleo IBRD, na Shirika la kimataifa la Maendeleo IDA. Benki ya Dunia ni sehemu ya kundi la Benki ya Dunia, ambalo ni sehemu ya mfumo wa Umoja wa Mataifa. Lengo kuu la Benki ya Dunia ni kupunguza umaskini, lakini kulingana na vipengele vya mkataba wake, maamuzi yake yote yanapaswa kuongozwa na dhamira ya kukuza uwekezaji wa kigeni na biashara ya kimataifa, na kwa uwezeshaji wa mitaji ya uwekezaji.

Onesha makala zaidi