Wanajeshi wawili wa kitaliana wamepotea Afghanistan | Habari za Ulimwengu | DW | 23.09.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Wanajeshi wawili wa kitaliana wamepotea Afghanistan

Roma:

Wanajeshi wawili wa kitaliana wanaotumikia kikosi cha kimataifa cha kulinda amani nchini Afghanistan hawajulikani waliko.Wizara ya mambo ya nchi za nje ya Italy imesema mjini Roma ,mawasiliano yamevunjika pamoja na wanajeshi hao.Haijulikani lakini kama wametekwa nyara au la.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com